Jeremiah 42:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yeremia akawaambia watu: “Enyi Wayahudi mliosalia, Mwenyezi-Mungu aliwaambia msiende Misri. Jueni wazi kwamba leo nimewaonya kuwa
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Enyi mabaki ya Yuda, Mwenyezi Mungu amewaambia, ‘Msiende Misri.’ Hakikisheni jambo hili: Ninawaonya leo
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana asema katika habari zenu, enyi mabaki ya Yuda, Msiingie Misri; jueni sana ya kuwa nimewashuhudia hivi leo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yeremia akawaambia watu: “Enyi Wayahudi mliosalia, Mwenyezi-Mungu aliwaambia msiende Misri. Jueni wazi kwamba leo nimewaonya kuwa
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Enyi mabaki ya Yuda, BWANA amewaambia, ‘Msiende Misri.’ Hakikisheni jambo hili: Ninawaonya leo
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Enyi mabaki ya Yuda, bwana amewaambia, ‘Msiende Misri.’ Hakikisheni jambo hili: Ninawaonya leo
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA asema katika habari zenu, enyi mabaki ya Yuda, Msiingie Misri; jueni sana ya kuwa nimewashuhudia hivi leo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yeremia akawaambia watu: “Enyi Wayahudi mliosalia, Mwenyezi-Mungu aliwaambia msiende Misri. Jueni wazi kwamba leo nimewaonya kuwa
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana anawaambia ninyi mlio masao ya Yuda: Msiende Misri! Yajueni kabisa, ya kuwa nimewashuhudia leo!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA asema katika habari zenu, enyi mabaki ya Yuda, Msiingie Misri; jueni sana ya kuwa nimewashuhudia hivi leo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yeremia akawaambia watu: Enyi Wayuda muliobaki, Yawe aliwaambia musiende Misri. Mujue wazi kwamba leo nimewaonya kwamba