Jeremiah 42:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
mmepotoka, mmeyahatarisha maisha yenu. Maana mlinituma kwa Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, mkiniambia, ‘Tuombee dua kwa Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, na chochote Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu atakachosema, utuambie, nasi tutatekeleza.’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwamba mmefanya kosa kubwa mioyoni mwenu mliponituma kwa Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, na kusema, ‘Mwombe Mwenyezi Mungu, Mungu wetu, kwa ajili yetu, nawe utuambie kila kitu atakachosema, nasi tutafanya.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana mmetenda kwa hila juu ya nafsi zenu wenyewe; kwa kuwa mmenituma kwa Bwana, Mungu wenu, mkisema, Utuombee kwa Bwana, Mungu wetu, ukatufunulie sawasawa na yote atakayoyanena Bwana, Mungu wetu, nasi tutayatenda;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
mmepotoka, mmeyahatarisha maisha yenu. Maana mlinituma kwa Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, mkiniambia, ‘Tuombee dua kwa Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, na chochote Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu atakachosema, utuambie, nasi tutatekeleza.’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwamba mmefanya kosa kubwa mioyoni mwenu mliponituma kwa BWANA Mungu wenu na kusema, ‘Mwombe BWANA Mungu wetu kwa ajili yetu, nawe utuambie kila kitu atakachosema, nasi tutafanya.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwamba mmefanya kosa kubwa mioyoni mwenu mliponituma kwa bwana Mwenyezi Mungu wenu na kusema, ‘Mwombe bwana Mwenyezi Mungu wetu kwa ajili yetu, nawe utuambie kila kitu atakachosema, nasi tutafanya.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana mmetenda kwa hila juu ya nafsi zenu wenyewe; kwa kuwa mmenituma kwa BWANA, Mungu wenu, mkisema, Utuombee kwa BWANA, Mungu wetu, ukatufunulie sawasawa na yote atakayoyanena BWANA, Mungu wetu, nasi tutayatenda;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
mmepotoka, mmeyahatarisha maisha yenu. Maana mlinituma kwa Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, mkiniambia, ‘Tuombee dua kwa Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, na chochote Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu atakachosema, utuambie, nasi tutatekeleza.’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Msiposikia mtazipoteza roho zenu, kwani ninyi wenyewe mmenituma kwa Bwana Mungu wenu kwamba: Tuombee sisi kwa Bwana Mungu wetu! Nayo yote, Bwana Mungu wetu atakayotuambia, tutayafanya vivyo hivyo, kama atakavyotujulisha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana mmetenda kwa hila juu ya nafsi zenu wenyewe; kwa kuwa mmenituma kwa BWANA, Mungu wenu, mkisema, Utuombee kwa BWANA, Mungu wetu, ukatufunulie sawasawa na yote atakayoyanena BWANA, Mungu wetu, nasi tutayatenda;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
mumepotoka, mumeyahatarisha maisha yenu. Maana mulinituma kwa Yawe, Mungu wenu, mukiniambia: Utuombee kwa Yawe, Mungu wetu kwamba kitu chochote Yawe, Mungu wetu, atakachosema, utuambie, nasi tutatimiza.