Jeremiah 42:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Leo mimi nimewaambieni lakini hamkutii chochote ambacho Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu amenituma niwaambie.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nimewaambieni leo, lakini bado ninyi hamtaki kumtii Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, katika yote aliyonituma niwaambie.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nami nimewafunulia haya leo; lakini ninyi hamkuitii sauti ya Bwana, Mungu wenu, katika neno lo lote ambalo amenituma kwenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Leo mimi nimewaambieni lakini hamkutii chochote ambacho Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu amenituma niwaambie.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nimewaambieni leo, lakini bado ninyi hamtaki kumtii BWANA Mungu wenu katika yote aliyonituma mimi niwaambie.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nimewaambieni leo, lakini bado ninyi hamtaki kumtii bwana Mwenyezi Mungu wenu katika yote aliyonituma niwaambie.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nami nimewafunulia haya leo; lakini ninyi hamkuitii sauti ya BWANA, Mungu wenu, katika neno lolote ambalo amenituma kwenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Leo mimi nimewaambieni lakini hamkutii chochote ambacho Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu amenituma niwaambie.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nikawajulisha leo, lakini hamwisikii sauti ya Bwana Mungu wenu na kuyafanya yote, aliyonituma kuwaambia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nami nimewafunulia haya leo; lakini ninyi hamkuitii sauti ya BWANA, Mungu wenu, katika neno lo lote ambalo amenituma kwenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Leo mimi nimewaambia, lakini hamukutii neno lolote ambalo Yawe, Mungu wenu amenituma niwaambie.