Jeremiah 42:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, jueni hakika kwamba mahali mnapotamani kwenda kukaa mtafia hukohuko kwa vita, njaa na maradhi.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi sasa, hakikisheni jambo hili: Mtakufa kwa upanga, njaa na tauni mahali pale mnataka kwenda kuishi.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi, sasa jueni sana ya kuwa mtakufa kwa upanga, na kwa njaa, na kwa tauni, katika mahali pale mnapopatamani kwenda na kukaa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, jueni hakika kwamba mahali mnapotamani kwenda kukaa mtafia hukohuko kwa vita, njaa na maradhi.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi sasa, hakikisheni jambo hili: Mtakufa kwa upanga, njaa na tauni mahali ambapo mnataka kwenda kuishi.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi sasa, hakikisheni jambo hili: Mtakufa kwa upanga, njaa na tauni mahali ambapo mnataka kwenda kuishi.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi, sasa jueni sana ya kuwa mtakufa kwa upanga, na kwa njaa, na kwa tauni, katika mahali pale mnapopatamani kwenda na kukaa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, jueni hakika kwamba mahali mnapotamani kwenda kukaa mtafia hukohuko kwa vita, njaa na maradhi.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo jueni sasa: Panga na njaa na magonjwa mabaya ndiyo yatakayowaua mahali hapo panapowapendeza kupaendea na kukaa ugenini kuko huko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi, sasa jueni sana ya kuwa mtakufa kwa upanga, na kwa njaa, na kwa tauni, katika mahali pale mnapopatamani kwenda na kukaa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, mujue hakika kwamba mutauawa kwa vita, kwa njaa na kwa ugonjwa mukali katika inchi ile munayotaka kwenda kukaa ndani yake.