Jeremiah 42:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha, watu wakamwambia Yeremia, “Mwenyezi-Mungu na awe shahidi wa kweli na mwaminifu dhidi yetu ikiwa hatutafanya jinsi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako atakavyokuagiza utuambie.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha wakamwambia Yeremia, “Mwenyezi Mungu na awe shahidi mwaminifu na wa kweli dhidi yetu, ikiwa hatutafanya kila kitu jinsi Mwenyezi Mungu, Mungu wako, atakachokutuma utuambie.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakamwambia Yeremia, Bwana na awe shahidi wa kweli na uaminifu kati yetu; ikiwa hatufanyi sawasawa na neno lile, ambalo Bwana, Mungu wako, atakutuma utuletee.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha, watu wakamwambia Yeremia, “Mwenyezi-Mungu na awe shahidi wa kweli na mwaminifu dhidi yetu ikiwa hatutafanya jinsi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako atakavyokuagiza utuambie.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha wakamwambia Yeremia, “BWANA na awe shahidi wa kweli na mwaminifu juu yetu kama hatutafanya sawasawa na kila kitu BWANA Mungu wako atakachokutuma utuambie.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha wakamwambia Yeremia, “ bwana na awe shahidi wa kweli na mwaminifu kati yetu kama hatutafanya sawasawa na kila kitu bwana Mwenyezi Mungu wako atakachokutuma utuambie.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakamwambia Yeremia, BWANA na awe shahidi wa kweli na uaminifu kati yetu; ikiwa hatufanyi sawasawa na neno lile, ambalo BWANA, Mungu wako, atakutuma utuletee.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha, watu wakamwambia Yeremia, “Mwenyezi-Mungu na awe shahidi wa kweli na mwaminifu dhidi yetu ikiwa hatutafanya jinsi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako atakavyokuagiza utuambie.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wakamwambia Yeremia: Bwana na awe kwetu shahidi mkweli na mtegemevu kwamba: Kila neno, Bwana Mungu wako atakalokutuma, litakavyotuambia, ndivyo, tutakavyofanya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakamwambia Yeremia, BWANA na awe shahidi wa kweli na uaminifu kati yetu; ikiwa hatufanyi sawasawa na neno lile, ambalo BWANA, Mungu wako, atakutuma utuletee.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha, watu wakamwambia Yeremia: Yawe akuwe mushuhuda wa kweli na mwaminifu juu yetu ikiwa hatutafanya jinsi Yawe, Mungu wako atakavyokuagiza utuambie.