Jeremiah 42:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baada ya siku kumi, neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia Yeremia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada ya siku kumi, neno la Mwenyezi Mungu likamjia Yeremia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikawa, baada ya siku kumi, neno la Bwana likamjia Yeremia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baada ya siku kumi, neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia Yeremia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baada ya siku kumi, neno la BWANA likamjia Yeremia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada ya siku kumi, neno la bwana likamjia Yeremia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikawa, baada ya siku kumi, neno la BWANA likamjia Yeremia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baada ya siku kumi, neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia Yeremia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku kumi zilipopita, neno la Bwana likamjia Yeremia,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikawa, baada ya siku kumi, neno la BWANA likamjia Yeremia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nyuma ya siku kumi, neno la Yawe lilimufikia Yeremia.