Jeremiah 42:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Yeremia akamwita Yohanani mwana wa Karea, na makamanda wote wa majeshi pamoja na watu wote, wadogo kwa wakubwa, akawaambia,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo akawaita Yohanani mwana wa Karea, maafisa wote wa jeshi waliokuwa pamoja naye, na watu wote kuanzia mdogo kabisa hadi aliye mkuu sana.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo akamwita Yohana, mwana wa Karea, na maakida wote wa majeshi waliokuwa pamoja naye, na watu wote tangu wadogo hata wakubwa,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Yeremia akamwita Yohanani mwana wa Karea, na makamanda wote wa majeshi pamoja na watu wote, wadogo kwa wakubwa, akawaambia,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo akawaita pamoja Yohanani mwana wa Karea na maafisa wote wa jeshi waliokuwa pamoja naye na watu wote kuanzia mdogo kabisa hadi aliye mkuu sana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo akawaita pamoja Yohanani mwana wa Karea, na maafisa wote wa jeshi waliokuwa pamoja naye na watu wote kuanzia mdogo kabisa hadi aliye mkuu sana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo akamwita Yohana, mwana wa Karea, na makamanda wote wa majeshi waliokuwa pamoja naye, na watu wote tangu wadogo hata wakubwa,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Yeremia akamwita Yohanani mwana wa Karea, na makamanda wote wa majeshi pamoja na watu wote, wadogo kwa wakubwa, akawaambia,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
akamwita Yohana, mwana wa Karea, nao wakuu wote wa vikosi waliokuwa naye, nao watu wote wa ukoo huu, wadogo kwa wakubwa,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo akamwita Yohana, mwana wa Karea, na maakida wote wa majeshi waliokuwa pamoja naye, na watu wote tangu wadogo hata wakubwa,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Yeremia akamwita Yohana mwana wa Karea, na wakubwa wote wa waaskari pamoja na watu wote, wadogo kama vile wakubwa, akawaambia: