Jeremiah 42:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli ambaye mlinituma kwake nipeleke maombi yenu, asema hivi:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akawaambia, “Hili ndilo asemalo Mwenyezi Mungu, Mungu wa Israeli, ambaye mlinituma kuwasilisha maombi yenu:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
akawaambia, Bwana, Mungu wa Israeli, ambaye mlinituma kwake, ili niyaweke maombi yenu mbele yake, asema hivi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli ambaye mlinituma kwake nipeleke maombi yenu, asema hivi:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akawaambia, “Hili ndilo asemalo BWANA, Mungu wa Israeli, ambaye mlinituma kuwasilisha maombi yenu, asema:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akawaambia, “Hili ndilo asemalo bwana, Mungu wa Israeli, ambaye mlinituma kuwasilisha maombi yenu:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
akawaambia, BWANA, Mungu wa Israeli, ambaye mlinituma kwake, ili niyaweke maombi yenu mbele yake, asema hivi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli ambaye mlinituma kwake nipeleke maombi yenu, asema hivi:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
akawaambia: Hivi ndivyo, Bwana Mungu wa Isiraeli anavyosema, kwa kuwa mmenituma kwake, kumpelekea malalamiko yenu, yamwangukie,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
akawaambia, BWANA, Mungu wa Israeli, ambaye mlinituma kwake, ili niyaweke maombi yenu mbele yake, asema hivi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe, Mungu wa Israeli, ambaye ninyi mulinituma kwake nipeleke maombi yenu, anasema hivi: