Jeremiah 43:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yeremia alipomaliza kuwaambia watu wote maneno yote ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wao, alimwamuru awatangazie,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeremia alipomaliza kuwaambia watu maneno yote ya Mwenyezi Mungu, Mungu wao, yaani kila kitu Mwenyezi Mungu alichokuwa amemtuma kuwaambia,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikawa Yeremia alipokwisha kuwaambia watu wote maneno yote ya Bwana, Mungu wao, ambayo Bwana, Mungu wao, amemtuma kwao, yaani, maneno hayo yote,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yeremia alipomaliza kuwaambia watu wote maneno yote ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wao, alimwamuru awatangazie,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yeremia alipomaliza kuwaambia watu maneno yote ya BWANA Mungu wao, kila kitu BWANA alichokuwa amemtuma kuwaambia,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeremia alipomaliza kuwaambia watu maneno yote ya bwana Mwenyezi Mungu wao, yaani kila kitu bwana alichokuwa amemtuma kuwaambia,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikawa Yeremia alipokwisha kuwaambia watu wote maneno yote ya BWANA, Mungu wao, ambayo BWANA, Mungu wao, amemtuma kwao, yaani, maneno hayo yote,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yeremia alipomaliza kuwaambia watu wote maneno yote ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wao, alimwamuru awatangazie,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ikawa, Yeremia alipokwisha kuwaambia watu wote wa ukoo huu maneno yote ya Bwana Mungu wao, ndiyo maneno yale yote, yeye Bwana Mungu wao aliyomtuma kuwaambia,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikawa Yeremia alipokwisha kuwaambia watu wote maneno yote ya BWANA, Mungu wao, ambayo BWANA, Mungu wao, amemtuma kwao, yaani, maneno hayo yote,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yeremia alipomaliza kuwaambia watu wote maneno yote ambayo Yawe, Mungu wao, alimwamuru awatangazie,