Jeremiah 43:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ataivunja minara ya ukumbusho iliyoko huko Heliopoli nchini Misri, na mahekalu ya miungu ya Misri atayateketeza kwa moto.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huko, ndani ya hekalu la jua nchini Misri, atabomoa nguzo za ibada, na kuteketeza kwa moto mahekalu ya miungu ya Misri.’ ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye atazivunja nguzo za Bethshemeshi, iliyoko huko katika nchi ya Misri, na nyumba za miungu ya Misri ataziteketeza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ataivunja minara ya ukumbusho iliyoko huko Heliopoli nchini Misri, na mahekalu ya miungu ya Misri atayateketeza kwa moto.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Humo ndani ya hekalu la jua katika Misri atabomoa nguzo za ibada na kuteketeza kwa moto mahekalu ya miungu wa Misri.’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Humo ndani ya hekalu la jua nchini ya Misri atabomoa nguzo za ibada, na kuteketeza kwa moto mahekalu ya miungu wa Misri.’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye atazivunja nguzo za Beth-shemeshi, iliyoko huko katika nchi ya Misri, na nyumba za miungu ya Misri ataziteketeza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ataivunja minara ya ukumbusho iliyoko huko Heliopoli nchini Misri, na mahekalu ya miungu ya Misri atayateketeza kwa moto.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini nguzo za nyumba ya kulitambikia jua iliyoko katika nchi ya Misri atazivunja, nazo nyumba za miungu ya Misri ataziteketeza kwa moto.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye atazivunja nguzo za Bethshemeshi, iliyoko huko katika nchi ya Misri, na nyumba za miungu ya Misri ataziteketeza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ataivunja minara ya mungu wao inayokuwa huko Heliopoli katika inchi ya Misri, na atateketeza mahekalu ya miungu ya Misri kwa moto.