Jeremiah 43:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Azaria mwana wa Hoshaia, Yohanani mwana wa Karea na watu wote mafidhuli, walimwambia Yeremia: “Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, hakukutuma wewe utuambie tusiende Misri, tukaishi huko.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Azaria mwana wa Hoshaya, na Yohanani mwana wa Karea, na watu wote wenye kiburi wakamwambia Yeremia, “Wewe unasema uongo! Mwenyezi Mungu, Mungu wetu, hajakutuma kusema, ‘Kamwe msiende Misri kukaa huko.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ndipo Azaria, mwana wa Hoshaya, na Yohana mwana wa Karea, na watu wote wenye kiburi wakanena, wakimwambia Yeremia, Unasema uongo; Bwana, Mungu wetu, hakukutuma useme, Msiende Misri kukaa huko;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Azaria mwana wa Hoshaia, Yohanani mwana wa Karea na watu wote mafidhuli, walimwambia Yeremia: “Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, hakukutuma wewe utuambie tusiende Misri, tukaishi huko.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Azaria mwana wa Hoshaya na Yohanani mwana wa Karea na watu wote wenye kiburi wakamwambia Yeremia, “Wewe unasema uongo! BWANA Mungu wetu hajakutuma kusema, ‘Kamwe msiende Misri kukaa huko.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Azaria mwana wa Hoshaya, na Yohanani mwana wa Karea, na watu wote wenye kiburi wakamwambia Yeremia, “Wewe unasema uongo! bwana Mwenyezi Mungu wetu hajakutuma kusema, ‘Kamwe msiende Misri kukaa huko.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ndipo Azaria, mwana wa Hoshaya, na Yohana mwana wa Karea, na watu wote wenye kiburi wakanena, wakimwambia Yeremia, Unasema uongo; BWANA, Mungu wetu, hakukutuma useme, Msiende Misri kukaa huko;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Azaria mwana wa Hoshaia, Yohanani mwana wa Karea na watu wote mafidhuli, walimwambia Yeremia: “Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, hakukutuma wewe utuambie tusiende Misri, tukaishi huko.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ndipo, Azaria, mwana wa Hosaya, na Yohana, mwana wa Karea, na watu wote waliojivuna walipomwambia Yeremia: Wewe umesema uwongo, Bwana Mungu wetu hakukutuma kutuambia: Msiende Misri kukaa ugenini huko!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ndipo Azaria, mwana wa Hoshaya, na Yohana mwana wa Karea, na watu wote wenye kiburi wakanena, wakimwambia Yeremia, Unasema uongo; BWANA, Mungu wetu, hakukutuma useme, Msiende Misri kukaa huko;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Azaria mwana wa Hosaya, Yohana mwana wa Karea na watu wote wenye kiburi, walimwambia Yeremia: Yawe, Mungu wetu, hakukutuma wewe utuambie tusiende Misri, tuishi huko.