Jeremiah 43:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baruku mwana wa Neria, amekuchochea dhidi yetu ili tutiwe mikononi mwa Wakaldayo watuue au watupeleke uhamishoni Babuloni.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini Baruku mwana wa Neria anakuchochea dhidi yetu ili ututie mikononi mwa Wakaldayo, ili watuue au watuchukue uhamishoni Babeli.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
bali Baruku, mwana wa Neria, akushawishi kinyume chetu, ili kututia katika mikono ya Wakaldayo, ili watuue, na kutuchukua mateka mpaka Babeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baruku mwana wa Neria, amekuchochea dhidi yetu ili tutiwe mikononi mwa Wakaldayo watuue au watupeleke uhamishoni Babuloni.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini Baruki mwana wa Neria anakuchochea wewe dhidi yetu ili ututie mikononi mwa Wakaldayo, ili watuue au watuchukue uhamishoni Babeli.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini Baruku mwana wa Neria anakuchochea dhidi yetu ili ututie mikononi mwa Wakaldayo, ili watuue au watuchukue uhamishoni Babeli.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
bali Baruku, mwana wa Neria, akushawishi kinyume chetu, ili kututia katika mikono ya Wakaldayo, ili watuue, na kutuchukua mateka mpaka Babeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baruku mwana wa Neria, amekuchochea dhidi yetu ili tutiwe mikononi mwa Wakaldayo watuue au watupeleke uhamishoni Babuloni.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani Baruku, mwana wa Neria, anakushurutisha, utupingie, apate kututia mikononi mwa Wakasidi, watuue, wengine watuteke na kutupeleka Babeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
bali Baruku, mwana wa Neria, akushawishi kinyume chetu, ili kututia katika mikono ya Wakaldayo, ili watuue, na kutuchukua mateka mpaka Babeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Baruku mwana wa Neria, amekuchochea juu yetu kusudi tutiwe katika mikono ya Wakaldea watuue au watupeleke katika uhamisho kule Babeli.