Jeremiah 43:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
wanaume, wanawake, watoto, binti za mfalme na kila mtu ambaye Nebuzaradani, kapteni wa walinzi, alikuwa amemwachia Gedalia mwana wa Ahikamu, mjukuu wa Shafani, wakamchukua pia nabii Yeremia na Baruku mwana wa Neria,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pia wakawaongoza wanaume wote, wanawake na watoto, na binti za mfalme ambao Nebuzaradani mkuu wa askari walinzi wa mfalme alikuwa amewaacha na Gedalia mwana wa Ahikamu mwana wa Shafani, na nabii Yeremia, na Baruku mwana wa Neria.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wanaume, na wanawake, na watoto, na binti za mfalme, na kila mtu ambaye Nebuzaradani, amiri wa askari walinzi, amemwacha pamoja na Gedalia, mwana wa Ahikamu, mwana wa Shafani, pia na Yeremia, nabii, na Baruku, mwana wa Neria;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wanaume, wanawake, watoto, binti za mfalme na kila mtu ambaye Nebuzaradani, kapteni wa walinzi, alikuwa amemwachia Gedalia mwana wa Ahikamu, mjukuu wa Shafani, wakamchukua pia nabii Yeremia na Baruku mwana wa Neria,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pia wakawaongoza wanaume wote, wanawake na watoto na binti za mfalme ambao Nebuzaradani kiongozi wa walinzi wa kifalme alikuwa amewaacha pamoja na Gedalia mwana wa Ahikamu, mwana wa Shafani na nabii Yeremia na Baruki mwana wa Neria.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pia wakawaongoza wanaume wote, wanawake na watoto, na binti za mfalme ambao Nebuzaradani kiongozi wa walinzi wa mfalme alikuwa amewaacha na Gedalia mwana wa Ahikamu mwana wa Shafani, na nabii Yeremia, na Baruku mwana wa Neria.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wanaume, na wanawake, na watoto, na binti za mfalme, na kila mtu ambaye Nebuzaradani, mkuu wa askari walinzi, amemwacha pamoja na Gedalia, mwana wa Ahikamu, mwana wa Shafani, pia na Yeremia, nabii, na Baruku, mwana wa Neria;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
wanaume, wanawake, watoto, binti za mfalme na kila mtu ambaye Nebuzaradani, kapteni wa walinzi, alikuwa amemwachia Gedalia mwana wa Ahikamu, mjukuu wa Shafani, wakamchukua pia nabii Yeremia na Baruku mwana wa Neria,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakawachukua waume na wake na watoto na wana wa kike wa mfalme nao wote pia, Nebuzaradani, mkuu wao waliomlinda mfalme, aliowaacha na Gedalia, mwana wa Ahikamu, mwana wa Safani, hata mfumbuaji Yeremia na Baruku, mwana wa Neria.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wanaume, na wanawake, na watoto, na binti za mfalme, na kila mtu ambaye Nebuzaradani, amiri wa askari walinzi, amemwacha pamoja na Gedalia, mwana wa Ahikamu, mwana wa Shafani, pia na Yeremia, nabii, na Baruku, mwana wa Neria;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
wanaume, wanawake, watoto, wabinti wa mufalme na kila mutu ambaye Nebuzaradani mukubwa wa waaskari alikuwa amemwachia Gedalia mwana wa Ahikamu mujukuu wa Safanu. Wakamupeleka vilevile nabii Yeremia na Baruku mwana wa Neria.