Jeremiah 43:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
wakaenda nchini Misri, wakawasili mjini Tahpanesi. Ndivyo walivyokataa kutii alichosema Mwenyezi-Mungu
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo wakaingia Misri kwa kutokumtii Mwenyezi Mungu, wakaenda hadi Tapanesi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wakaingia nchi ya Misri; maana hawakuitii sauti ya Bwana; wakafika hata Tahpanesi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wakaenda nchini Misri, wakawasili mjini Tahpanesi. Ndivyo walivyokataa kutii alichosema Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo wakaingia Misri kwa kutokumtii BWANA na wakaenda mpaka Tahpanhesi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo wakaingia Misri kwa kutokumtii bwana, wakaenda mpaka Tahpanhesi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wakaingia nchi ya Misri; maana hawakuitii sauti ya BWANA; wakafika hadi Tapanesi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
wakaenda nchini Misri, wakawasili mjini Tahpanesi. Ndivyo walivyokataa kutii alichosema Mwenyezi-Mungu
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakaja katika nchi ya Misri, kwani hawakuisikia sauti ya Bwana, wakakaa Tahapanesi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wakaingia nchi ya Misri; maana hawakuitii sauti ya BWANA; wakafika hata Tahpanesi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakaenda katika inchi ya Misri, wakafika katika muji wa Tapanesi. Ndivyo walivyokataa kutii maneno ya Yawe.