Jeremiah 43:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi neno la Mwenyezi-Mungu likamjia Yeremia huko Tahpanesi:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huko Tapanesi neno la Mwenyezi Mungu likamjia Yeremia kusema:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo neno la Bwana likamjia Yeremia huko Tahpenesi, kusema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi neno la Mwenyezi-Mungu likamjia Yeremia huko Tahpanesi:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Huko Tahpanhesi neno la BWANA likamjia Yeremia kusema:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Huko Tahpanhesi neno la bwana likamjia Yeremia kusema:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo neno la BWANA likamjia Yeremia huko Tapanesi, kusema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi neno la Mwenyezi-Mungu likamjia Yeremia huko Tahpanesi:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Neno la Bwana likamjia Yeremia huko Tahapanesi kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo neno la BWANA likamjia Yeremia huko Tahpenesi, kusema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati Yeremia alipokuwa Tapanesi, neno la Yawe lilimufikia Yeremia kusema hivi: