Jeremiah 44:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitawaadhibu wale wanaokaa katika nchi ya Misri kama nilivyouadhibu mji wa Yerusalemu, kwa vita, njaa, na maradhi mabaya.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitawaadhibu wanaoishi Misri kwa upanga, njaa na tauni kama nilivyoiadhibu Yerusalemu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana nitawaadhibu wakaao katika nchi ya Misri, kama nilivyouadhibu Yerusalemu, kwa upanga, na kwa njaa, na kwa tauni;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitawaadhibu wale wanaokaa katika nchi ya Misri kama nilivyouadhibu mji wa Yerusalemu, kwa vita, njaa, na maradhi mabaya.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitawaadhibu wale waishio Misri kwa upanga, njaa na tauni kama nilivyoiadhibu Yerusalemu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitawaadhibu wale waishio Misri kwa upanga, njaa na tauni kama nilivyoiadhibu Yerusalemu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana nitawaadhibu wakaao katika nchi ya Misri, kama nilivyouadhibu Yerusalemu, kwa upanga, na kwa njaa, na kwa tauni;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitawaadhibu wale wanaokaa katika nchi ya Misri kama nilivyouadhibu mji wa Yerusalemu, kwa vita, njaa, na maradhi mabaya.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
nikiwapatiliza wakaao katika nchi ya Misri, kama nilivyowapatiliza Wayerusalemu kwa panga na kwa njaa na kwa magonjwa mabaya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana nitawaadhibu wakaao katika nchi ya Misri, kama nilivyouadhibu Yerusalemu, kwa upanga, na kwa njaa, na kwa tauni;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitawaazibu wale wanaokaa katika inchi ya Misri kama nilivyouazibu Yerusalema, kwa vita, njaa, na ugonjwa mukali.