Jeremiah 44:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Jambo hilo ulilotuambia kwa niaba ya Mwenyezi-Mungu hatutalitii.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Hatutausikiliza ujumbe uliotuambia katika jina la Mwenyezi Mungu!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Neno lile ulilotuambia kwa jina la Bwana, sisi hatutakusikiliza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Jambo hilo ulilotuambia kwa niaba ya Mwenyezi-Mungu hatutalitii.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Hatutausikiliza ujumbe uliotuambia katika jina la BWANA!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Hatutausikiliza ujumbe uliotuambia katika jina la bwana!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Neno lile ulilotuambia kwa jina la BWANA, sisi hatutakusikiliza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Jambo hilo ulilotuambia kwa niaba ya Mwenyezi-Mungu hatutalitii.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Neno hili, ulilotuambia katika Jina la Bwana, kwetu sisi hakuna atakayekusikia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Neno lile ulilotuambia kwa jina la BWANA, sisi hatutakusikiliza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Juu ya neno ulilotuambia kwa jina la Yawe, hatutakusikiliza.