Jeremiah 44:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini tangu tuache kumfukizia ubani malkia wa mbinguni na kummiminia kinywaji, tumetindikiwa kila kitu, na tumeangamizwa kwa vita na njaa.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini tangu tulipoacha kumfukizia uvumba Malkia wa Mbinguni na kummiminia sadaka za kinywaji, hatupati chochote, na tumekuwa tukiangamizwa kwa upanga na njaa.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini tulipoacha kumfukizia uvumba malkia wa mbinguni, na kummiminia sadaka za kinywaji, tumepungukiwa na vitu vyote; na kuangamizwa kwa upanga, na kwa njaa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini tangu tuache kumfukizia ubani malkia wa mbinguni na kummiminia kinywaji, tumetindikiwa kila kitu, na tumeangamizwa kwa vita na njaa.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini tangu tulipoacha kumfukizia uvumba Malkia wa Mbinguni na kummiminia sadaka za kinywaji, hatukupata cho chote na tumekuwa tukiangamizwa kwa upanga na njaa.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini tangu tulipoacha kumfukizia uvumba Malkia wa Mbinguni na kummiminia sadaka za kinywaji, hatupati chochote, na tumekuwa tukiangamizwa kwa upanga na njaa.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini tulipoacha kumfukizia uvumba malkia wa mbinguni, na kummiminia sadaka za kinywaji, tumepungukiwa na vitu vyote; na kuangamizwa kwa upanga, na kwa njaa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini tangu tuache kumfukizia ubani malkia wa mbinguni na kummiminia kinywaji, tumetindikiwa kila kitu, na tumeangamizwa kwa vita na njaa.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Toka hapo, tulipoacha kumvukizia mfalme wa kike wa mbinguni na kummwagia vinywaji vya tambiko, ndipo, tulipokosa yote, tukamalizika kwa panga na kwa njaa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini tulipoacha kumfukizia uvumba malkia wa mbinguni, na kummiminia sadaka za kinywaji, tumepungukiwa na vitu vyote; na kuangamizwa kwa upanga, na kwa njaa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini tangu tulipoacha kumufukizia malkia wa mbinguni ubani na sadaka ya kinywaji, tumekosewa kila kitu, na tumeangamizwa kwa vita na njaa.