Jeremiah 44:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndipo Yeremia akawaambia watu wote, wanaume kwa wanawake, yaani watu wote waliompa jibu hilo:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Yeremia akawaambia watu wote, wanaume na wanawake waliokuwa wakimjibu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo Yeremia akawaambia watu wote, wanaume na wanawake, yaani, watu wote waliompa jibu lile, akisema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndipo Yeremia akawaambia watu wote, wanaume kwa wanawake, yaani watu wote waliompa jibu hilo:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo Yeremia akawaambia watu wote, wanaume na wanawake waliokuwa wakimjibu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Yeremia akawaambia watu wote, wanaume na wanawake waliokuwa wakimjibu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo Yeremia akawaambia watu wote, wanaume na wanawake, yaani, watu wote waliompa jibu lile, akisema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndipo Yeremia akawaambia watu wote, wanaume kwa wanawake, yaani watu wote waliompa jibu hilo:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yeremia akawaambia watu wote wa ukoo huu, waume kwa wake na watu wote pia waliomjibu neno hilo, akasema:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo Yeremia akawaambia watu wote, wanaume na wanawake, yaani, watu wote waliompa jibu lile, akisema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu Yeremia akawaambia watu wote, wanaume na wanawake, ni kusema watu wote waliomupa jibu hilo: