Jeremiah 44:24 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yeremia aliwaambia watu wote na wanawake wote: “Sikilizeni neno la Mwenyezi-Mungu, enyi watu wa Yuda wote mlioko nchini Misri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Yeremia akawaambia watu wote, pamoja na wanawake, “Sikieni neno la Mwenyezi Mungu, enyi watu wote wa Yuda mlioko Misri.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena Yeremia akawaambia watu wote, na wanawake wote, Lisikieni neno hili la Bwana, ninyi nyote wa Yuda, mliopo hapa katika nchi ya Misri;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yeremia aliwaambia watu wote na wanawake wote: “Sikilizeni neno la Mwenyezi-Mungu, enyi watu wa Yuda wote mlioko nchini Misri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha Yeremia akawaambia watu wote, pamoja na wanawake, “Sikieni neno la BWANA, enyi watu wote wa Yuda mlioko Misri.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha Yeremia akawaambia watu wote, pamoja na wanawake, “Sikieni neno la bwana, enyi watu wote wa Yuda mlioko Misri.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena Yeremia akawaambia watu wote, na wanawake wote, Lisikieni neno hili la BWANA, ninyi nyote wa Yuda, mlioko hapa katika nchi ya Misri;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yeremia aliwaambia watu wote na wanawake wote: “Sikilizeni neno la Mwenyezi-Mungu, enyi watu wa Yuda wote mlioko nchini Misri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yeremia akawaambia waume wote wa ukoo huu nao wake wote: Lisikieni neno la Bwana, ninyi Wayuda wote mlioko katika nchi ya Misri!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena Yeremia akawaambia watu wote, na wanawake wote, Lisikieni neno hili la BWANA, ninyi nyote wa Yuda, mliopo hapa katika nchi ya Misri;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yeremia aliwaambia watu wote na wanawake wote: Musikilize neno la Yawe, enyi Wayuda wote munaokuwa katika inchi ya Misri.