Jeremiah 44:27 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mimi nawachungulia hao sio kwa mema bali kwa mabaya. Watu wote wa Yuda nchini Misri wataangamizwa kwa upanga na njaa, asibaki hata mtu mmoja.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana ninawaangalia kwa ajili ya madhara, wala sio kwa mema. Kila Myahudi aliyeko nchi ya Misri ataangamia kwa upanga au kwa njaa, hadi wote waangamie.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tazama, nawaangalia niwaletee mabaya, wala si mema; nao watu wote wa Yuda, waliopo hapa katika nchi ya Misri, wataangamizwa kwa upanga, na kwa njaa, hata wakomeshwe kabisa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mimi nawachungulia hao sio kwa mema bali kwa mabaya. Watu wote wa Yuda nchini Misri wataangamizwa kwa upanga na njaa, asibaki hata mtu mmoja.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana ninawaangalia kwa ajili ya madhara sio kwa mema, Wayahudi walioko Misri wataangamia kwa upanga na njaa mpaka wote watakapoangamizwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana ninawaangalia kwa ajili ya madhara, wala sio kwa mema. Wayahudi walioko Misri wataangamia kwa upanga na njaa, hadi wote watakapoangamizwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tazama, nawaangalia niwaletee mabaya, wala si mema; nao watu wote wa Yuda, walioko hapa katika nchi ya Misri, wataangamizwa kwa upanga, na kwa njaa, hadi wakomeshwe kabisa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mimi nawachungulia hao sio kwa mema bali kwa mabaya. Watu wote wa Yuda nchini Misri wataangamizwa kwa upanga na njaa, asibaki hata mtu mmoja.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtaniona, nikiwa macho kuyaangalia mabaya, nitakayowafanyizia, siyo mema! Ndipo, watakapomalizika watu wote wa Kiyuda walioko katika nchi ya Misri kwa panga na kwa njaa, mpaka watakapokuwa wamekwisha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazama, nawaangalia niwaletee mabaya, wala si mema; nao watu wote wa Yuda, waliopo hapa katika nchi ya Misri, wataangamizwa kwa upanga, na kwa njaa, hata wakomeshwe kabisa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mimi ninawachungulia hao si kwa mema lakini kwa mabaya. Watu wote wa Yuda katika inchi ya Misri wataangamizwa kwa upanga na njaa, hakutabaki hata mutu mumoja.