Jeremiah 44:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini hakuna aliyenisikiliza wala kunitegea sikio. Nyinyi mlikataa kuacha uovu wenu na kuacha kuifukizia ubani miungu mingine.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini hawakusikiliza wala hawakujali, hawakugeuka ili kuuacha uovu wao, wala hawakuacha kufukiza uvumba kwa miungu mingine.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini hawakusikiliza, wala hawakutega masikio yao, ili wageuke na kuacha uovu wao, wasifukizie uvumba miungu mingine.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini hakuna aliyenisikiliza wala kunitegea sikio. Nyinyi mlikataa kuacha uovu wenu na kuacha kuifukizia ubani miungu mingine.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini hawakusikiliza wala hawakujali, hawakugeuka ili kuuacha uovu wao wala hawakuacha kufukiza uvumba kwa miungu mingine.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini hawakusikiliza wala hawakujali, hawakugeuka ili kuuacha uovu wao, wala hawakuacha kufukiza uvumba kwa miungu mingine.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini hawakusikiliza, wala hawakutega masikio yao, ili wageuke na kuacha uovu wao, wasifukizie uvumba miungu mingine.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini hakuna aliyenisikiliza wala kunitegea sikio. Nyinyi mlikataa kuacha uovu wenu na kuacha kuifukizia ubani miungu mingine.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini hawakusikia, wala hawakuyatega masikio yao, warudi na kuyaacha mabaya yao, wasivukizie miungu mingine.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini hawakusikiliza, wala hawakutega masikio yao, ili wageuke na kuacha uovu wao, wasifukizie uvumba miungu mingine.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini hakuna aliyenisikiliza wala kunitegea sikio. Ninyi mulikataa kuacha uovu wenu na kuacha kuifukizia miungu mingine ubani.