Jeremiah 45:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Haya ndiyo maneno aliyotamka nabii Yeremia mnamo mwaka wa nne wa utawala wa Yehoyakimu mwana wa Yosia naye Baruku mwana wa Neria akawa anayaandika kitabuni. Yeremia alimwambia Baruku:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hili ndilo nabii Yeremia alilomwambia Baruku mwana wa Neria katika mwaka wa nne wa utawala wa Yehoyakimu mwana wa Yosia mfalme wa Yuda, baada ya Baruku kuandika katika kitabu maneno ambayo yalitoka kinywani mwa Yeremia wakati ule:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Neno hili ndilo ambalo Yeremia, nabii, alimwambia Baruku, mwana wa Neria, alipoyaandika maneno haya katika kitabu kwa kinywa cha Yeremia, mwaka wa nne wa Yehoyakimu, mwana wa Yosia, mfalme wa Yuda, kusema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Haya ndiyo maneno aliyotamka nabii Yeremia mnamo mwaka wa nne wa utawala wa Yehoyakimu mwana wa Yosia naye Baruku mwana wa Neria akawa anayaandika kitabuni. Yeremia alimwambia Baruku:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hili ndilo nabii Yeremia alilomwambia Baruki mwana wa Neria katika mwaka wa nne wa kutawala kwake Yehoyakimu mwana wa Yosia mfalme wa Yuda, baada ya Baruki kuandika katika kitabu maneno ambayo yalitoka kinywani mwa Yeremia wakati ule:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hili ndilo nabii Yeremia alilomwambia Baruku mwana wa Neria katika mwaka wa nne wa utawala wa Yehoyakimu mwana wa Yosia mfalme wa Yuda, baada ya Baruku kuandika katika kitabu maneno ambayo yalitoka kinywani mwa Yeremia wakati ule:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Neno hili ndilo ambalo Yeremia, nabii, alimwambia Baruku, mwana wa Neria, alipoyaandika maneno haya katika kitabu kwa kinywa cha Yeremia, mwaka wa nne wa Yehoyakimu, mwana wa Yosia, mfalme wa Yuda, kusema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Haya ndiyo maneno aliyotamka nabii Yeremia mnamo mwaka wa nne wa utawala wa Yehoyakimu mwana wa Yosia naye Baruku mwana wa Neria akawa anayaandika kitabuni. Yeremia alimwambia Baruku:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hili ndilo neno, mfumbuaji Yeremia alilomwambia Baruku, mwana wa Neria, alipoyaandika maneno haya katika kitabu, Yeremia akiyasema kwa kinywa chake, katika mwaka wa nne wa Yoyakimu, mwana wa Yosia, mfalme wa Yuda, akimwambia:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Neno hili ndilo ambalo Yeremia, nabii, alimwambia Baruku, mwana wa Neria, alipoyaandika maneno haya katika kitabu kwa kinywa cha Yeremia, mwaka wa nne wa Yehoyakimu, mwana wa Yosia, mfalme wa Yuda, kusema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Haya ndiyo maneno nabii Yeremia aliyosema katika mwaka wa ine wa utawala wa Yoyakimu mwana wa Yosia, mufalme wa Yuda na Baruku mwana wa Neria akayaandika katika kitabu: