Jeremiah 46:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Neno la Mwenyezi-Mungu lililomjia Yeremia kuhusu watu wa mataifa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hili ni neno la Mwenyezi Mungu lililomjia nabii Yeremia kuhusu mataifa:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Neno la Bwana lililomjia Yeremia, nabii, katika habari za mataifa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Neno la Mwenyezi-Mungu lililomjia Yeremia kuhusu watu wa mataifa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hili ni neno la BWANA lililomjia nabii Yeremia kuhusu mataifa:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hili ni neno la bwana lililomjia nabii Yeremia kuhusu mataifa:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Neno la BWANA lililomjia Yeremia, nabii, kuhusu mataifa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Neno la Mwenyezi-Mungu lililomjia Yeremia kuhusu watu wa mataifa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hili ndilo neno la Bwana lililomjia mfumbuaji Yeremia kwa ajili ya wamizimu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Neno la BWANA lililomjia Yeremia, nabii, katika habari za mataifa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe akamutolea Yeremia ujumbe juu ya watu wa mataifa.