Jeremiah 46:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Pandeni Gileadi, enyi watu wa Misri, mkachukue dawa ya marhamu. Mmetumia dawa nyingi bure; hakuna kitakachowaponya nyinyi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Panda hadi Gileadi ukapate zeri, ee Bikira Binti Misri. Lakini umetumia dawa nyingi bila mafanikio; huwezi kupona.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Panda uende Gileadi, ukatwae zeri, Ee binti, bikira wa Misri; unatumia dawa nyingi bure tu; hupati kupona kamwe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Pandeni Gileadi, enyi watu wa Misri, mkachukue dawa ya marhamu. Mmetumia dawa nyingi bure; hakuna kitakachowaponya nyinyi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Panda mpaka Gileadi ukapate zeri, Ee Bikira Binti wa Misri. Lakini umetumia dawa nyingi bila mafanikio; huwezi kupona.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Panda hadi Gileadi ukapate zeri, ee Bikira Binti wa Misri. Lakini umetumia dawa nyingi bila mafanikio; huwezi kupona.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Panda uende Gileadi, ukatwae zeri, Ee binti, bikira wa Misri; unatumia dawa nyingi bure tu; hupati kupona kamwe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Pandeni Gileadi, enyi watu wa Misri, mkachukue dawa ya marhamu. Mmetumia dawa nyingi bure; hakuna kitakachowaponya nyinyi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Pandeni Gileadi kuchukua mafuta ya kwaju, ninyi wanawali mliozaliwa Misri! Ni bure, ukitumia dawa nyingi, hakuna itakayokuponya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Panda uende Gileadi, ukatwae zeri, Ee binti, bikira wa Misri; unatumia dawa nyingi bure tu; hupati kupona kamwe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mupande Gileadi, enyi watu wa Misri, kwa kutafuta dawa. Mumetumia dawa nyingi bure; hakuna kitakachowaponyesha ninyi.