Jeremiah 46:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Neno ambalo Mwenyezi-Mungu alimwambia Yeremia wakati alipofika Nebukadneza mfalme wa Babuloni kuishambulia nchi ya Misri:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huu ndio ujumbe ambao Mwenyezi Mungu alimwambia nabii Yeremia kuhusu kuja kwa Nebukadneza, mfalme wa Babeli ili kuishambulia Misri:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Neno hili ndilo ambalo Bwana alimwambia Yeremia, nabii, kueleza jinsi Nebukadreza, mfalme wa Babeli, atakavyokuja na kuipiga nchi ya Misri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Neno ambalo Mwenyezi-Mungu alimwambia Yeremia wakati alipofika Nebukadneza mfalme wa Babuloni kuishambulia nchi ya Misri:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Huu ndio ujumbe BWANA aliomwambia nabii Yeremia juu ya kuja kwa Nebukadneza mfalme wa Babeli ili kuishambulia Misri:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Huu ndio ujumbe bwana aliomwambia nabii Yeremia kuhusu kuja kwa Nebukadneza mfalme wa Babeli ili kuishambulia Misri:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Neno hili ndilo ambalo BWANA alimwambia Yeremia, nabii, kueleza jinsi Nebukadneza, mfalme wa Babeli, atakavyokuja na kuipiga nchi ya Misri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Neno ambalo Mwenyezi-Mungu alimwambia Yeremia wakati alipofika Nebukadneza mfalme wa Babuloni kuishambulia nchi ya Misri:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hili ndilo neno, Bwana alilomwambia mfumbuaji Yeremia, Nebukadinesari, mfalme wa Babeli, alipokuja kuipiga nchi ya Misri:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Neno hili ndilo ambalo BWANA alimwambia Yeremia, nabii, kueleza jinsi Nebukadreza, mfalme wa Babeli, atakavyokuja na kuipiga nchi ya Misri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hili ndilo neno ambalo Yawe alimwambia Yeremia wakati Nebukadneza mufalme wa Babeli alipofika kuishambulia inchi ya Misri: