Jeremiah 46:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Tangaza nchini Misri, piga mbiu huko Migdoli, tangaza huko Memfisi na Tahpanesi. Waambie: ‘Kaeni tayari kabisa maana upanga utawaangamiza kila mahali.’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Tangaza hili katika Misri, nawe ulihubiri katika Migdoli, hubiri pia katika Memfisi na Tapanesi: ‘Shikeni nafasi zenu na mwe tayari, kwa kuwa upanga unawala wanaokuzunguka.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tangazeni habari hii katika Misri, mkaihubiri katika Migdoli, na kuihubiri katika Nofu, na Tahpanesi; semeni, Simama, ujifanye tayari kwa maana upanga umekula pande zako zote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Tangaza nchini Misri, piga mbiu huko Migdoli, tangaza huko Memfisi na Tahpanesi. Waambie: ‘Kaeni tayari kabisa maana upanga utawaangamiza kila mahali.’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Tangaza hili katika Misri, nawe ulihubiri katika Migdoli, hubiri pia katika Memfisi na Tahpanhesi: ‘Shikeni nafasi zenu na mwe tayari, kwa kuwa upanga unawala wale wanaokuzunguka.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Tangaza hili katika Misri, nawe ulihubiri katika Migdoli, hubiri pia katika Memfisi na Tahpanhesi: ‘Shikeni nafasi zenu na mwe tayari, kwa kuwa upanga unawala wale wanaokuzunguka.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tangazeni habari hii katika Misri, mkaihubiri katika Migdoli, na kuihubiri katika Nofu, na Tapanesi; semeni, Simama, ujitayarishe kwa maana upanga umekula pande zako zote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Tangaza nchini Misri, piga mbiu huko Migdoli, tangaza huko Memfisi na Tahpanesi. Waambie: ‘Kaeni tayari kabisa maana upanga utawaangamiza kila mahali.’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Pigeni mbiu huko Misri na kuitangaza Migidoli! Tena itangazeni Nofu na Tahapanesi kwamba: Jipangeni na kujitengeneza! Kwani panga zimewala waliokuzunguka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tangazeni habari hii katika Misri, mkaihubiri katika Migdoli, na kuihubiri katika Nofu, na Tahpanesi; semeni, Simama, ujifanye tayari kwa maana upanga umekula pande zako zote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tangaza katika inchi ya Misri, uijulishe huko Migidoli, uijulishe huko Nofi na Tapanesi. Uwaambie: Mukae tayari kabisa maana upanga utawaangamiza kila nafasi.