Jeremiah 46:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa nini shujaa wako amekimbia? Mbona fahali wako hakuweza kustahimili? Kwa sababu mimi Mwenyezi-Mungu nilimwangusha chini!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa nini mashujaa wako wamesombwa na kupelekwa mbali? Hawawezi kusimama, kwa maana Mwenyezi Mungu atawasukuma awaangushe chini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mbona mashujaa wako wamechukuliwa mbali? Hawakusimama kwa sababu Bwana aliwafukuza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa nini shujaa wako amekimbia? Mbona fahali wako hakuweza kustahimili? Kwa sababu mimi Mwenyezi-Mungu nilimwangusha chini!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa nini mashujaa wakoa wamesombwa na kupelekwa mbali? Hawawezi kusimama, kwa maana BWANA atawasukuma awaangushe chini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa nini mashujaa wako wamesombwa na kupelekwa mbali? Hawawezi kusimama, kwa maana bwana atawasukuma awaangushe chini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mbona mashujaa wako wamechukuliwa mbali? Hawakusimama kwa sababu BWANA aliwafukuza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa nini shujaa wako amekimbia? Mbona fahali wako hakuweza kustahimili? Kwa sababu mimi Mwenyezi-Mungu nilimwangusha chini!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mbona watukufu wako wamelazwa chini? Hawakusimama, kwani Bwana aliwakumba;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mbona mashujaa wako wamechukuliwa mbali? Hawakusimama kwa sababu BWANA aliwafukuza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa nini shujaa wako amekimbia? Mbona ngombe dume wako hakuweza kuvumilia? Kwa sababu mimi Yawe nilimwangusha chini!