Jeremiah 46:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Naye Farao, mfalme wa Misri, mpangeni jina hili: ‘Kishindo kitupu!’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huko watu watatangaza, ‘Farao, mfalme wa Misri, ni makelele tu, muda alioandikiwa umekwisha.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakalia huko, Farao, mfalme wa Misri, ni kishindo tu; muhula alioandikiwa ameuacha upite.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Naye Farao, mfalme wa Misri, mpangeni jina hili: ‘Kishindo kitupu!’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Huko watasema, ‘Farao mfalme wa Misri ni makelele tu, amekosa wasaa wake.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Huko watatangaza, ‘Farao mfalme wa Misri ni makelele tu, amekosa wasaa wake.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakalia huko, Farao, mfalme wa Misri, ni kishindo tu; muda alioandikiwa ameuacha upite.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Naye Farao, mfalme wa Misri, mpangeni jina hili: ‘Kishindo kitupu!’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndiko, walikomwita Farao, mfalme wa Misri: Angamio, ameikosa siku yake ya kupona!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakalia huko, Farao, mfalme wa Misri, ni kishindo tu; muhula alioandikiwa ameuacha upite.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naye Mufalme wa Misri, mumupange jina hili: Mwenye domo ya bure!