Jeremiah 46:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Misri ni kama mtamba mzuri wa ng'ombe, lakini kipanga kutoka kaskazini amemvamia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Misri ni mtamba mzuri, lakini mbung’o anakuja dhidi yake kutoka kaskazini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Misri ni mtamba mzuri sana, lakini uharibifu umekuja, Umekuja utokao pande za kaskazini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Misri ni kama mtamba mzuri wa ng'ombe, lakini kipanga kutoka kaskazini amemvamia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Misri ni mtamba mzuri wa ng'ombe, lakini kipanga anakuja dhidi yake kutoka kaskazini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Misri ni mtamba mzuri, lakini kipanga anakuja dhidi yake kutoka kaskazini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Misri ni mtamba mzuri sana, lakini uharibifu umekuja, Umekuja utokao pande za kaskazini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Misri ni kama mtamba mzuri wa ng'ombe, lakini kipanga kutoka kaskazini amemvamia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Misri ni mori mzuri mno, lakini mbung'o anakuja upesi toka kaskazini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Misri ni mtamba mzuri sana, lakini uharibifu umekuja, Umekuja utokao pande za kaskazini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Misri ni kama mwana-ngombe muzuri, lakini uharibifu kutoka kaskazini umekuja juu yake.