Jeremiah 46:23 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wataukata kabisa msitu wake, ingawa haupenyeki, nasema mimi Mwenyezi-Mungu, maana wao ni wengi kuliko nzige wasiohesabika.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wataufyeka msitu wake,” asema Mwenyezi Mungu, “hata kama umesongamana kiasi gani. Ni wengi kuliko nzige, hawawezi kuhesabika.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wataukata msitu wake, asema Bwana, ingawa haupenyeki; Kwa maana ni wengi kuliko nzige, hawahesabiki.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wataukata kabisa msitu wake, ingawa haupenyeki, nasema mimi Mwenyezi-Mungu, maana wao ni wengi kuliko nzige wasiohesabika.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wataufyeka msitu wake,” asema BWANA, “hata kama umesongamana kiasi gani. Ni wengi kuliko nzige, hawawezi kuhesabika.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wataufyeka msitu wake,” asema bwana, “hata kama umesongamana kiasi gani. Ni wengi kuliko nzige, hawawezi kuhesabika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wataukata msitu wake, asema BWANA, ingawa haupenyeki; Kwa maana ni wengi kuliko nzige, hawahesabiki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wataukata kabisa msitu wake, ingawa haupenyeki, nasema mimi Mwenyezi-Mungu, maana wao ni wengi kuliko nzige wasiohesabika.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndivyo, asemavyo Bwana: Wataikata misitu yao isiyochunguzika, kwani ni wengi kuliko nzige, hawahesabiki.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wataukata msitu wake, asema BWANA, ingawa haupenyeki; Kwa maana ni wengi kuliko nzige, hawahesabiki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watakata kabisa pori lake, ingawa halipenyeki. –Ni ujumbe wa Yawe– maana wao ni wengi kuliko nzige wasiohesabika.