Jeremiah 46:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wa Misri wataaibishwa, watatiwa mikononi mwa watu kutoka kaskazini.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Binti Misri ataaibishwa, atatiwa mikononi mwa watu wa kaskazini.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Binti ya Misri ataaibishwa; Atatiwa mikononi mwa watu wa kaskazini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wa Misri wataaibishwa, watatiwa mikononi mwa watu kutoka kaskazini.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Binti wa Misri ataaibishwa, atatiwa mikononi mwa watu wa kaskazini.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Binti wa Misri ataaibishwa, atatiwa mikononi mwa watu wa kaskazini.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Binti ya Misri ataaibishwa; Atatiwa mikononi mwa watu wa kaskazini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wa Misri wataaibishwa, watatiwa mikononi mwa watu kutoka kaskazini.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wanawali wa Misri, wamepatwa na soni kwa kutiwa mikononi mwa watu waliotoka kaskazini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Binti ya Misri ataaibishwa; Atatiwa mikononi mwa watu wa kaskazini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wa Misri watapata haya, watatiwa katika mikono ya watu kutoka kaskazini.