Jeremiah 46:27 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Lakini wewe usiogope, ee Yakobo mtumishi wangu, usifadhaike, ee Israeli; maana, kutoka mbali nitakuokoa, nitakuja kuwaokoa wazawa wako kutoka nchi walimohamishwa. Yakobo utarudi na kutulia na kustarehe, wala hakuna yeyote atakayekutia hofu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Usiogope, ee Yakobo mtumishi wangu, usifadhaike, ee Israeli. Hakika nitakuokoa kutoka nchi za mbali, uzao wako kutoka nchi walioishi uhamishoni. Yakobo atakuwa tena na amani na salama, wala hakuna hata mmoja atakayewatia hofu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini usiogope wewe, Ee Yakobo, mtumishi wangu; wala usifadhaike, Ee Israeli; kwa maana, tazama, nitakuokoa toka mbali, na wazao wako toka nchi ya uhamisho wao; na Yakobo atarudi, naye atatulia na kustarehe, wala hapana mtu atakayemtia hofu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Lakini wewe usiogope, ee Yakobo mtumishi wangu, usifadhaike, ee Israeli; maana, kutoka mbali nitakuokoa, nitakuja kuwaokoa wazawa wako kutoka nchi walimohamishwa. Yakobo utarudi na kutulia na kustarehe, wala hakuna yeyote atakayekutia hofu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Usiogope, Ee Yakobo mtumishi wangu, usifadhaike, Ee Israeli. Hakika nitakuokoa toka katika nchi za mbali, uzao wako toka nchi ya uhamisho wao. Yakobo atakuwa tena na amani na salama, wala hakuna hata mmoja atakayewatia hofu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Usiogope, ee Yakobo mtumishi wangu, usifadhaike, ee Israeli. Hakika nitakuokoa kutoka nchi za mbali, uzao wako kutoka nchi ya uhamisho wao. Yakobo atakuwa tena na amani na salama, wala hakuna hata mmoja atakayewatia hofu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini usiogope wewe, Ee Yakobo, mtumishi wangu; wala usifadhaike, Ee Israeli; kwa maana, tazama, nitakuokoa toka mbali, na wazao wako toka nchi ya uhamisho wao; na Yakobo atarudi, naye atatulia na kustarehe, wala hapana mtu atakayemtia hofu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Lakini wewe usiogope, ee Yakobo mtumishi wangu, usifadhaike, ee Israeli; maana, kutoka mbali nitakuokoa, nitakuja kuwaokoa wazawa wako kutoka nchi walimohamishwa. Yakobo utarudi na kutulia na kustarehe, wala hakuna yeyote atakayekutia hofu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wewe mtumishi wangu Yakobo, usiogope! Nawe Isiraeli, usistuke! Kwani utaniona, nikikuokoa na kukutoa huko mbali, nao walio kizazi chako nitawatoa katika ile nchi, walikopelekwa kwa kutekwa. Yakobo atarudi, akae na kutulia pasipo kuhangaika, kwani hakuna atakayemstusha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini usiogope wewe, Ee Yakobo, mtumishi wangu; wala usifadhaike, Ee Israeli; kwa maana, tazama, nitakuokoa toka mbali, na wazao wako toka nchi ya uhamisho wao; na Yakobo atarudi, naye atatulia na kustarehe, wala hapana mtu atakayemtia hofu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini wewe usiogope, ee Yakobo mutumishi wangu, usifazaike, ee Israeli, maana nitakuokoa kutoka mbali, nitakuja kuwaokoa wazao wako kutoka inchi walimohamishiwa. Yakobo utarudi na kutulia na kustarehe, wala hakuna yeyote atakayekutia hofu.