Jeremiah 46:28 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Usiogope, ee Yakobo mtumishi wangu, kwa maana mimi niko pamoja nawe. Nitayaangamiza kabisa mataifa yote ambayo nimekutawanya kati yao, lakini wewe sitakuangamiza. Nitakuchapa kadiri unavyostahili, sitakuacha bila kukuadhibu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Usiogope, ee Yakobo mtumishi wangu, kwa maana mimi niko pamoja nawe,” asema Mwenyezi Mungu. “Ingawa nitayaangamiza kabisa mataifa yote ambayo miongoni mwake nimekutawanya, sitakuangamiza wewe kabisa. Nitakurudi, lakini kwa haki tu, wala sitakuacha kabisa bila kukuadhibu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Usiogope wewe, Ee Yakobo, mtumishi wangu, asema Bwana; kwa maana mimi ni pamoja nawe; maana nitawakomesha kabisa mataifa yote huko nilikokufukuza, bali sitakukomesha wewe kabisa; lakini nitakurudi kwa hukumu, wala sitakuacha bila adhabu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Usiogope, ee Yakobo mtumishi wangu, kwa maana mimi niko pamoja nawe. Nitayaangamiza kabisa mataifa yote ambayo nimekutawanya kati yao, lakini wewe sitakuangamiza. Nitakuchapa kadiri unavyostahili, sitakuacha bila kukuadhibu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Usiogope, Ee Yakobo mtumishi wangu, kwa maana mimi niko pamoja nawe,” asema BWANA. “Ingawa nitayaangamiza kabisa mataifa yote ambayo miongoni mwake nimekutawanya, sitakuangamiza wewe kabisa, Nitakurudi lakini kwa haki tu, wala sitakuacha kabisa bila kukuadhibu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Usiogope, ee Yakobo mtumishi wangu, kwa maana mimi niko pamoja nawe,” asema bwana. “Ingawa nitayaangamiza kabisa mataifa yote ambayo miongoni mwake nimekutawanya, sitakuangamiza wewe kabisa. Nitakurudi, lakini kwa haki tu, wala sitakuacha kabisa bila kukuadhibu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Usiogope wewe, Ee Yakobo, mtumishi wangu, asema BWANA; kwa maana mimi ni pamoja nawe; maana nitawakomesha kabisa mataifa yote huko nilikokufukuza, bali sitakukomesha wewe kabisa; lakini nitakurudi kwa hukumu, wala sitakuacha bila adhabu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Usiogope, ee Yakobo mtumishi wangu, kwa maana mimi niko pamoja nawe. Nitayaangamiza kabisa mataifa yote ambayo nimekutawanya kati yao, lakini wewe sitakuangamiza. Nitakuchapa kadiri unavyostahili, sitakuacha bila kukuadhibu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndivyo, asemavyo Bwana: Wewe ntumishi wangu Yakobo, usiogope! Kwani mimi niko pamoja na wewe, kwani nitayamaliza mataifa yote, ambayo nimekutupa kwao, lakini wewe sitakumaliza, nitakuchapa tu, kama yakupasavyo, nisikuache pasipo patilizo lo lote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Usiogope wewe, Ee Yakobo, mtumishi wangu, asema BWANA; kwa maana mimi ni pamoja nawe; maana nitawakomesha kabisa mataifa yote huko nilikokufukuza, bali sitakukomesha wewe kabisa; lakini nitakurudi kwa hukumu, wala sitakuacha bila adhabu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Usiogope, ee Yakobo mutumishi wangu, kwa maana mimi niko pamoja nawe. –Ni ujumbe wa Yawe.– Nitayaangamiza kabisa mataifa yote ambayo nimekutawanya kati yao, lakini wewe sitakuangamiza. Nitakuazibu kadiri unavyostahili, sitakuacha bila kukuazibu.