Jeremiah 46:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walio wepesi kutoroka hawawezi, mashujaa hawawezi kukwepa; huko kaskazini kwenye mto Eufrate wamejikwaa na kuanguka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walio wepesi na wenye mbio hawawezi kukimbia, wala wenye nguvu hawawezi kutoroka. Kaskazini, kando ya Mto Frati, wanajikwaa na kuanguka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mtu mwepesi asikimbie, wala shujaa asiokoke; pande za kaskazini karibu na mto Frati wamejikwaa na kuanguka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walio wepesi kutoroka hawawezi, mashujaa hawawezi kukwepa; huko kaskazini kwenye mto Eufrate wamejikwaa na kuanguka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Walio wepesi na wenye mbio hawawezi kukimbia, wala wenye nguvu hawawezi kutoroka. Kaskazini, kando ya Mto Eufrati wanajikwaa na kuanguka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walio wepesi na wenye mbio hawawezi kukimbia, wala wenye nguvu hawawezi kutoroka. Kaskazini, kando ya Mto Frati, wanajikwaa na kuanguka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mtu mwepesi asikimbie, wala shujaa asiokoke; pande za kaskazini karibu na mto Frati wamejikwaa na kuanguka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walio wepesi kutoroka hawawezi, mashujaa hawawezi kukwepa; huko kaskazini kwenye mto Eufrate wamejikwaa na kuanguka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini naye mwenye miguu miepesi hatakimbia, wala mwenye nguvu hatapona. Upande wa kaskazini kando ya mto wa Furati wamejikwaa, wakaanguka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mtu mwepesi asikimbie, wala shujaa asiokoke; pande za kaskazini karibu na mto Frati wamejikwaa na kuanguka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wanaokuwa wepesi hawawezi kutoroka, mashujaa hawawezi kukwepa; huko kaskazini kwenye muto Furati wamejikwaa na kuanguka.