Jeremiah 47:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hiyo ni siku ya kuwaangamiza Wafilisti wote, kukomesha msaada uliobakia kutoka Tiro na Sidoni. Maana Mwenyezi-Mungu anawaangamiza Wafilisti, watu waliosalia wa kisiwa cha Kaftori.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana siku imewadia kuwaangamiza Wafilisti wote na kuwakatilia mbali walionusurika wote ambao wangeweza kusaidia Tiro na Sidoni. Mwenyezi Mungu anakaribia kuwaangamiza Wafilisti, mabaki toka pwani za Kaftori.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kwa sababu ya siku ijayo kuwaangamiza Wafilisti wote, kukatilia mbali kila msaidizi wa Tiro na Sidoni asaliaye; maana Bwana atawaharibu Wafilisti, mabaki ya kisiwa cha Kaftori.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hiyo ni siku ya kuwaangamiza Wafilisti wote, kukomesha msaada uliobakia kutoka Tiro na Sidoni. Maana Mwenyezi-Mungu anawaangamiza Wafilisti, watu waliosalia wa kisiwa cha Kaftori.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana siku imewadia kuwaangamiza Wafilisti wote na kuwakatilia mbali walionusurika wote ambao wangeweza kuisaidia Tiro na Sidoni. BWANA anakaribia kuwaangamiza Wafilisti, mabaki toka pwani za Kaftori.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana siku imewadia kuwaangamiza Wafilisti wote na kuwakatilia mbali walionusurika wote ambao wangeweza kusaidia Tiro na Sidoni. bwana anakaribia kuwaangamiza Wafilisti, mabaki toka pwani za Kaftori.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kwa sababu ya siku ijayo kuwaangamiza Wafilisti wote, kukatilia mbali kila msaidizi wa Tiro na Sidoni asaliaye; maana BWANA atawaharibu Wafilisti, mabaki ya kisiwa cha Kaftori.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hiyo ni siku ya kuwaangamiza Wafilisti wote, kukomesha msaada uliobakia kutoka Tiro na Sidoni. Maana Mwenyezi-Mungu anawaangamiza Wafilisti, watu waliosalia wa kisiwa cha Kaftori.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani inakuja ile siku ya kuwaangamiza Wafilisti wote, ndiyo ya kuwang'olea Watiro na Wasidoni wasaidiaji wote waliosalia; ndipo, Bwana atakapowaangamiza Wafilisti walio masao yao waliokitoka kisiwa cha Kafutori.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kwa sababu ya siku ijayo kuwaangamiza Wafilisti wote, kukatilia mbali kila msaidizi wa Tiro na Sidoni asaliaye; maana BWANA atawaharibu Wafilisti, mabaki ya kisiwa cha Kaftori.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hiyo ni siku ya kuwaangamiza Wafilistini wote, kukomesha musaada uliobakia kutoka Tiro na Sidona. Maana Yawe anawaangamiza Wafilistini, watu waliobaki wa kisanga cha Kafutori.