Jeremiah 47:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ee upanga wa Mwenyezi-Mungu! Utachukua muda gani ndipo utulie? Ingia katika ala yako, ukatulie na kunyamaa!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Mnalia, ‘Aa, upanga wa Mwenyezi Mungu, utaendelea hadi lini ndipo upumzike? Rudi ndani ya ala yako; acha na utulie.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee upanga wa Bwana, Siku ngapi zitapita kabla hujatulia? Ujitie katika ala yako; Pumzika, utulie.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee upanga wa Mwenyezi-Mungu! Utachukua muda gani ndipo utulie? Ingia katika ala yako, ukatulie na kunyamaa!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Mnalia, ‘Aa, upanga wa BWANA, utaendelea mpaka lini ndipo upumzike? Rudi ndani ya ala yako; acha na utulie.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Mnalia, ‘Aa, upanga wa bwana, utaendelea mpaka lini ndipo upumzike? Rudi ndani ya ala yako; acha na utulie.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee upanga wa BWANA, Siku ngapi zitapita kabla hujatulia? Ujitie katika ala yako; Pumzika, utulie.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee upanga wa Mwenyezi-Mungu! Utachukua muda gani ndipo utulie? Ingia katika ala yako, ukatulie na kunyamaa!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mpaka lini upanga wake Bwana utakuwa hautulii? Jirudie alani mwako, upumzike na kunyamaza!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee upanga wa BWANA, Siku ngapi zitapita kabla hujatulia? Ujitie katika ala yako; Pumzika, utulie.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee upanga wa Yawe! Utatwaa muda gani ndipo utulie? Ingia katika mufuko wako, upate kutulia na kunyamaza!