Jeremiah 47:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini utawezaje kutulia, hali Mwenyezi-Mungu ameupa kazi? Ameuamuru ushambulie mji wa Ashkeloni na watu wanaoishi pwani.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini upanga utatuliaje wakati Mwenyezi Mungu ameuamuru, wakati ameuagiza kuishambulia Ashkeloni pamoja na pwani yake?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Utawezaje kutulia, Ikiwa Bwana amekupa agizo? Juu ya Ashkeloni na juu ya pwani, Ndipo alipoyaamuru hayo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini utawezaje kutulia, hali Mwenyezi-Mungu ameupa kazi? Ameuamuru ushambulie mji wa Ashkeloni na watu wanaoishi pwani.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini upanga utatuliaje wakati BWANA ameuamuru, wakati ameuagiza kuishambulia Ashkeloni pamoja na pwani yake?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini upanga utatuliaje wakati bwana ameuamuru, wakati ameuagiza kuishambulia Ashkeloni pamoja na pwani yake?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Utawezaje kutulia, Ikiwa BWANA amekupa agizo? Juu ya Ashkeloni na juu ya pwani, Ndipo alipoyaamuru hayo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini utawezaje kutulia, hali Mwenyezi-Mungu ameupa kazi? Ameuamuru ushambulie mji wa Ashkeloni na watu wanaoishi pwani.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini utawezaje kutulia, Bwana akiuagiza kufanya kazi yake? Askaloni na pwani ndiko, Bwana alikoutuma.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Utawezaje kutulia, Ikiwa BWANA amekupa agizo? Juu ya Ashkeloni na juu ya pwani, Ndipo alipoyaamuru hayo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini utaweza kutulia namna gani, ikiwa ni Yawe ameupa kazi? Ameuamuru ushambulie muji wa Askeloni na watu wanaoishi kandokando ya bahari.