Jeremiah 48:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Na alaaniwe mtu afanyaye kazi ya Mwenyezi-Mungu kwa ulegevu; alaaniwe anayezuia upanga wake usimwage damu!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Alaaniwe yeye afanyaye kazi ya Mwenyezi Mungu kwa ulegevu! Alaaniwe yeye auzuiaye upanga wake usimwage damu!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na alaaniwe mtu afanyaye kazi ya Bwana kwa ulegevu; na alaaniwe auzuiaye upanga wake usimwage damu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Na alaaniwe mtu afanyaye kazi ya Mwenyezi-Mungu kwa ulegevu; alaaniwe anayezuia upanga wake usimwage damu!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Alaaniwe yeye afanyaye kazi ya BWANA kwa hila! Alaaniwe yeye auzuiaye upanga wake usimwage damu!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Alaaniwe yeye afanyaye kazi ya bwana kwa hila! Alaaniwe yeye auzuiaye upanga wake usimwage damu!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na alaaniwe mtu afanyaye kazi ya BWANA kwa ulegevu; na alaaniwe auzuiaye upanga wake usimwage damu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Na alaaniwe mtu afanyaye kazi ya Mwenyezi-Mungu kwa ulegevu; alaaniwe anayezuia upanga wake usimwage damu!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ameapizwa afanyaye kazi ya Bwana na kulegea! Ameapizwa auzuiaye upanga, usiue!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na alaaniwe mtu afanyaye kazi ya BWANA kwa ulegevu; na alaaniwe auzuiaye upanga wake usimwage damu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alaaniwe mutu anayefanya kazi ya Yawe kwa uregevu; alaaniwe anayezuia upanga wake usimwange damu!