Jeremiah 48:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Janga la Moabu limekaribia, maangamizi yake yanawasili haraka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Kuanguka kwa Moabu kumekaribia, janga kubwa litamjia kwa haraka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Msiba wa Moabu umefika karibu, Na mateso yake yanafanya haraka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Janga la Moabu limekaribia, maangamizi yake yanawasili haraka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Kuanguka kwa Moabu kumekaribia, janga kubwa litamjia kwa haraka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Kuanguka kwa Moabu kumekaribia, janga kubwa litamjia kwa haraka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Msiba wa Moabu umefika karibu, Na mateso yake yanamjia haraka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Janga la Moabu limekaribia, maangamizi yake yanawasili haraka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Angamio lao Wamoabu liko karibu, mabaya yao yanakuja upesi sana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Msiba wa Moabu umefika karibu, Na mateso yake yanafanya haraka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uharibifu wa Moabu umekaribia, maangamizi yake yanakuja haraka.