Jeremiah 48:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Enyi wenyeji wa Diboni: Shukeni kutoka mahali penu pa fahari, mkaketi katika ardhi isiyo na maji. Maana mwangamizi wa Moabu, amefika kuwashambulia; amekwisha haribu ngome zenu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Shuka kutoka fahari yako uketi katika ardhi iliyokauka, enyi wenyeji wa Binti Diboni, kwa maana yeye aangamizaye Moabu atakuja dhidi yako, na kuangamiza miji yako yenye ngome.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee binti ukaaye Diboni, Shuka toka utukufu wako, ukae katika kiu; Maana atekaye Moabu amepanda juu yako, Ameziharibu ngome zako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Enyi wenyeji wa Diboni: shukeni kutoka mahali penu pa fahari, mkaketi katika ardhi isiyo na maji. Maana mwangamizi wa Moabu, amefika kuwashambulia; amekwisha haribu ngome zenu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Shuka kutoka katika fahari yako na uketi katika ardhi iliyokauka, Enyi wenyeji wa Binti wa Diboni, kwa maana yeye aangamizaye Moabu atakuja dhidi yako na kuangamiza miji yako iliyozungushiwa maboma.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Shuka kutoka fahari yako na uketi katika ardhi iliyokauka, enyi wenyeji wa Binti wa Diboni, kwa maana yeye aangamizaye Moabu atakuja dhidi yako, na kuangamiza miji yako iliyozungushiwa maboma.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee binti ukaaye Diboni, Shuka toka utukufu wako, ukae katika kiu; Maana atekaye Moabu amepanda juu yako, Ameziharibu ngome zako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Enyi wenyeji wa Diboni: Shukeni kutoka mahali penu pa fahari, mkaketi katika ardhi isiyo na maji. Maana mwangamizi wa Moabu, amefika kuwashambulia; amekwisha haribu ngome zenu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ondokeni penye utukufu, mkae mchangani penye ugumu, ninyi wanawali mkaao Diboni! Kwani mwenye kuwaangamiza Wamoabu anapanda kufika kwako, ayabomoe maboma yako!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee binti ukaaye Diboni, Shuka toka utukufu wako, ukae katika kiu; Maana atekaye Moabu amepanda juu yako, Ameziharibu ngome zako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Enyi wenyeji wa Diboni: mushuke kutoka pahali penu pa utukufu, muikae juu ya udongo usiokuwa na maji. Maana mwangamizaji wa Moabu, amefika kuwashambulia; amekwisha haribu kuta zenu.