Jeremiah 48:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Enyi wakazi wa Aroeri, simameni kando ya njia mtazame! Mwulizeni anayekimbia na anayetoroka: ‘Kumetokea nini?’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Simama kando ya barabara na utazame, wewe unayeishi Aroeri. Muulize mwanaume anayekimbia na mwanamke anayetoroka, waulize, ‘Kumetokea nini?’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wewe ukaaye Aroeri, Simama kando ya njia upeleleze; Mwulize mwanamume akimbiaye na mwanamke atorokaye, Sema, Imetendeka nini?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Enyi wakazi wa Aroeri, simameni kando ya njia mtazame! Mwulizeni anayekimbia na anayetoroka: ‘Kumetokea nini?’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Simama kando ya barabara na utazame, wewe ambaye unaishi Aroeri. Mwulize mwanaume anayekimbia na mwanamke anayetoroka, waulize, ‘Kumetokea nini?’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Simama kando ya barabara na utazame, wewe unayeishi Aroeri. Muulize mwanaume anayekimbia na mwanamke anayetoroka, waulize, ‘Kumetokea nini?’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wewe ukaaye Aroeri, Simama kando ya njia upeleleze; Mwulize mwanamume akimbiaye na mwanamke atorokaye, Sema, Imetendeka nini?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Enyi wakazi wa Aroeri, simameni kando ya njia mtazame! Mwulizeni anayekimbia na anayetoroka: ‘Kumetokea nini?’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ninyi mkaao Aroeri, simameni njiani na kupeleleza mkiwauliza watoro walioepuka, mkisema: Kumetendeka nini?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wewe ukaaye Aroeri, Simama kando ya njia upeleleze; Mwulize mwanamume akimbiaye na mwanamke atorokaye, Sema, Imetendeka nini?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Enyi wakaaji wa Aroeri, musimame kandokando ya njia mupeleleze! Mumwulize yule anayekimbia na anayetoroka: Kumetokea nini?