Jeremiah 48:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Moabu imeaibishwa maana imevunjwa; ombolezeni na kulia. Tangazeni kando ya mto Arnoni, kwamba Moabu imeharibiwa kabisa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Moabu amefedheheshwa, kwa kuwa amevunjavunjwa. Lieni kwa huzuni na kupiga kelele! Tangazeni kando ya Mto Arnoni kwamba Moabu ameangamizwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Moabu ameaibishwa, kwa maana amevunjika; Pigeni yowe na kulia; Tangazeni habari hii katika Arnoni, Ya kuwa Moabu ameharibika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Moabu imeaibishwa maana imevunjwa; ombolezeni na kulia. Tangazeni kando ya mto Arnoni, kwamba Moabu imeharibiwa kabisa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Moabu amefedheheshwa, kwa kuwa amevunjwavunjwa. Lieni kwa huzuni na kupiga kelele! Tangazeni kando ya Arnoni kwamba Moabu ameangamizwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Moabu amefedheheshwa, kwa kuwa amevunjavunjwa. Lieni kwa huzuni na kupiga kelele! Tangazeni kando ya Arnoni kwamba Moabu ameangamizwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Moabu ameaibishwa, kwa maana amevunjika; Ombolezeni na kulia; Tangazeni habari hii katika Arnoni, Ya kuwa Moabu ameharibika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Moabu imeaibishwa maana imevunjwa; ombolezeni na kulia. Tangazeni kando ya mto Arnoni, kwamba Moabu imeharibiwa kabisa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wamoabu wamepatwa na soni kwa kuvunjika; lieni na kupaza sauti: Yatangazeni kwenye Arnoni, ya kuwa Wamoabu wameangamia!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Moabu ameaibishwa, kwa maana amevunjika; Pigeni yowe na kulia; Tangazeni habari hii katika Arnoni, Ya kuwa Moabu ameharibika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Moabu imepatishwa haya maana imevunjika. Muomboleze na kuililia. Mutangaze kandokando ya muto Arnoni, kwamba Moabu imeharibika kabisa.