Jeremiah 48:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Keriothi na Bosra. Naam, hukumu imeifikia miji yote ya Moabu mbali na karibu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
katika Keriothi na Bosra; kwa miji yote ya Moabu, iliyo mbali na karibu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na juu ya Keriothi, na juu ya Bozra, na juu ya miji yote ya nchi ya Moabu, iliyo mbali na iliyo karibu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Keriothi na Bosra. Naam, hukumu imeifikia miji yote ya Moabu mbali na karibu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
katika Keriothi na Bosra; kwa miji yote ya Moabu, iliyoko mbali na karibu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
katika Keriothi na Bosra; kwa miji yote ya Moabu, iliyoko mbali na karibu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na juu ya Keriothi, na juu ya Bozra, na juu ya miji yote ya nchi ya Moabu, iliyo mbali na iliyo karibu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Keriothi na Bosra. Naam, hukumu imeifikia miji yote ya Moabu mbali na karibu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
na Kirioti na Bosira na miji yote ya nchi ya Moabu iliyoko mbali, nayo iliyoko karibu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na juu ya Keriothi, na juu ya Bozra, na juu ya miji yote ya nchi ya Moabu, iliyo mbali na iliyo karibu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kerioti na Bosira. Kweli, hukumu imeifikia miji yote ya Moabu ya mbali na ya karibu.