Jeremiah 48:25 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nguvu za Moabu zimevunjiliwa mbali na uwezo wake umevunjwa. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pembe ya Moabu imekatwa, mkono wake umevunjwa,” asema Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Pembe ya Moabu imekatika, na mkono wake umevunjika, asema Bwana. Mlevyeni; kwa maana alijitukuza juu ya Bwana
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nguvu za Moabu zimevunjiliwa mbali na uwezo wake umevunjwa. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pembe ya Moabu imekatwa, mkono wake umevunjwa,” asema BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pembe ya Moabu imekatwa, mkono wake umevunjwa,” asema bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Pembe ya Moabu imekatika, na mkono wake umevunjika, asema BWANA. Mlevyeni; kwa maana alijitukuza juu ya BWANA
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nguvu za Moabu zimevunjiliwa mbali na uwezo wake umevunjwa. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Pembe ya Moabu imekatwa, nao mkono wake umevunjwa; ndivyo, asemavyo Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Pembe ya Moabu imekatika, na mkono wake umevunjika, asema BWANA. Mlevyeni; kwa maana alijitukuza juu ya BWANA
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nguvu za Moabu zimevunjika na uwezo wake umevunjika. –Ni ujumbe wa Yawe.–