Jeremiah 48:26 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mlewesheni Moabu kwa sababu alijikuza dhidi yangu mimi Mwenyezi-Mungu. Moabu atagaagaa katika matapishi yake na watu watamcheka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Mleweshe, kwa kuwa amemdharau Mwenyezi Mungu. Moabu atagaagaa katika matapishi yake, awe kichekesho.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na Moabu atagaa-gaa katika matapiko yake, naye atadhihakiwa. Kwa maana Israeli, je! Hakuwa dhihaka kwako?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mlewesheni Moabu kwa sababu alijikuza dhidi yangu mimi Mwenyezi-Mungu. Moabu atagaagaa katika matapishi yake na watu watamcheka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Mlevye, kwa kuwa amemdharau BWANA. Moabu na agaegae katika matapishi yake, yeye na awe kitu cha dhihaka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Mlevye, kwa kuwa amemdharau bwana. Moabu na agaegae katika matapishi yake, yeye na awe kitu cha dhihaka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na Moabu atagaagaa katika matapiko yake, naye atadhihakiwa. Kwa maana Israeli, je! Hakuwa dhihaka kwako?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Mlewesheni Moabu kwa sababu alijikuza dhidi yangu mimi Mwenyezi-Mungu. Moabu atagaagaa katika matapishi yake na watu watamcheka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walevyeni! Kwani wamejikuza kuliko Bwana; na waanguke kifudifudi katika matapiko yao, wachekwe nao hao!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na Moabu atagaa-gaa katika matapiko yake, naye atadhihakiwa. Kwa maana Israeli, je! Hakuwa dhihaka kwako?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mumuleweshe Moabu kwa sababu alijitukuza juu yangu mimi Yawe. Moabu atagaagaa katika matapiko yake na watu watamuchekelea.