Jeremiah 48:27 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kumbuka Moabu ulivyomcheka Israeli. Je, alikamatwa pamoja na wezi, hata ukawa unatikisa kichwa chako kila ulipoongea juu yake?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, Israeli hakuwa kitu chako cha kudhihakiwa? Je, alikamatwa miongoni mwa wezi, kiasi cha kutikisa kichwa chako kwa dharau kila mara unapozungumza juu yake?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Alionekana kati ya wevi? Maana kila umtajapo watikisa kichwa chako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kumbuka Moabu ulivyomcheka Israeli. Je, alikamatwa pamoja na wezi, hata ukawa unatikisa kichwa chako kila ulipoongea juu yake?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, Israeli hakuwa kitu chako cha kudhihakiwa? Je, alikamatwa miongoni mwa wezi, kiasi cha kutikisa kichwa chako kwa dharau kila mara unapozungumza juu yake?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, Israeli hakuwa kitu chako cha kudhihakiwa? Je, alikamatwa miongoni mwa wezi, kiasi cha kutikisa kichwa chako kwa dharau kila mara unapozungumza juu yake?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Alionekana kati ya wezi? Maana kila umtajapo watikisa kichwa chako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kumbuka Moabu ulivyomcheka Israeli. Je, alikamatwa pamoja na wezi, hata ukawa unatikisa kichwa chako kila ulipoongea juu yake?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Au Waisiraeli hawakuchekwa kwenu? Je? Walionwa kwenye wezi, mkiwatingishia vichwa kila mlipowataja?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Alionekana kati ya wevi? Maana kila umtajapo watikisa kichwa chako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Moabu, si ulimuchekelea Israeli! Ulimuhesabu kama mwenzake na wanyanganyi hata ukakuwa unatikisa kichwa chako kila mara uliposema juu yake.