Jeremiah 48:28 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Enyi wenyeji wa Moabu, tokeni mijini, mkakae mapangoni! Mwigeni njiwa ajengaye kiota penye genge.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ondokeni miji yenu, mkaishi katikati ya miamba, enyi mnaoishi Moabu. Kuweni kama njiwa ambaye hutengeneza kiota chake kwenye mlango wa pango.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Enyi mkaao Moabu, iacheni miji, Enendeni kukaa majabalini; Mkawe kama njiwa afanyaye kioto chake Katika ubavu wa mdomo wa shimo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Enyi wenyeji wa Moabu, tokeni mijini, mkakae mapangoni! Mwigeni njiwa ajengaye kiota penye genge.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ondokeni kwenye miji yenu na mkaishi katikati ya miamba, enyi mnaoishi Moabu. Iweni kama huwa ambaye hutengeneza kiota chake kwenye mdomo wa pango.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ondokeni kwenye miji yenu, mkaishi katikati ya miamba, enyi mnaoishi Moabu. Kuweni kama huwa ambaye hutengeneza kiota chake kwenye mdomo wa pango.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Enyi mkaao Moabu, ondokeni mijini, Nendeni mkakae majabalini; Mkawe kama njiwa atengenezaye kiota chake Kandoni mwa mdomo wa shimo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Enyi wenyeji wa Moabu, tokeni mijini, mkakae mapangoni! Mwigeni njiwa ajengaye kiota penye genge.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ninyi mkaao Moabu, tokeni mijini, mkae magengeni, mwe kama hua wanaojenga matundu yao juu penye miamba iliyokatika.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Enyi mkaao Moabu, iacheni miji, Enendeni kukaa majabalini; Mkawe kama njiwa afanyaye kioto chake Katika ubavu wa mdomo wa shimo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Enyi wenyeji wa Moabu, mutoke katika miji, muende kukaa chini ya mawe! Muige jinsi njiwa anavyojenga chicha chini ya jiwe.