Jeremiah 48:30 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Nami Mwenyezi-Mungu nasema: Najua ufidhuli wake; Majivuno yake ni ya bure, na matendo yake si kitu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ninaujua ujeuri wake, lakini ni bure,” asema Mwenyezi Mungu, “nako kujisifu kwake hakumsaidii chochote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Najua ghadhabu yake, asema Bwana, ya kuwa si kitu; majisifu yake hayakutenda neno lo lote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Nami Mwenyezi-Mungu nasema: Najua ufidhuli wake; Majivuno yake ni ya bure, na matendo yake si kitu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ninaujua ujeuri wake lakini ni bure,” asema BWANA, “nako kujisifu kwake hakumsaidii cho chote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ninaujua ujeuri wake, lakini ni bure,” asema bwana, “nako kujisifu kwake hakumsaidii chochote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Najua ghadhabu yake, asema BWANA, ya kuwa si kitu; majisifu yake hayakutenda neno lolote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Nami Mwenyezi-Mungu nasema: Najua ufidhuli wake; Majivuno yake ni ya bure, na matendo yake si kitu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndivyo, asemavyo Bwana: Mimi nimeyajua makorofi yao, ya kuwa hayana maana, nayo maneno yao makuu, ya kuwa hawakuyafanya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Najua ghadhabu yake, asema BWANA, ya kuwa si kitu; majisifu yake hayakutenda neno lo lote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninajua kiburi chake. –Ni ujumbe wa Yawe.– Majivuno yake ni ya bure, na matendo yake si kitu.