Jeremiah 48:33 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Furaha na shangwe zimeondolewa kutoka nchi ya Moabu yenye rutuba. Nimeikomesha divai kutoka mashinikizo hakuna mtu anayekamua zabibu kwa shangwe; kelele zinazosikika si za shangwe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Shangwe na furaha vimetoweka kutoka bustani na mashamba ya Moabu. Nimekomesha kutiririka kwa divai kutoka mashinikizo; hakuna hata mmoja ayakanyagaye kwa kelele za shangwe. Ingawa kuna kelele, sio kelele za shangwe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Furaha na shangwe zimeondoshwa, katika shamba lizaalo sana, na katika nchi ya Moabu; nami nimeikomesha divai katika mashinikizo; hapana mtu atakayekanyaga zabibu kwa shangwe; shangwe ile itakuwa si shangwe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Furaha na shangwe zimeondolewa kutoka nchi ya Moabu yenye rutuba. Nimeikomesha divai kutoka mashinikizo hakuna mtu anayekamua zabibu kwa shangwe; kelele zinazosikika si za shangwe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Shangwe na furaha vimetoweka kutoka kwenye bustani na mashamba ya Moabu. Nimekomesha kutiririka kwa divai kutoka katika mashinikizo; hakuna hata mmoja ayakanyagaye kwa kelele za shangwe. Ingawa kuna kelele, sio za shangwe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Shangwe na furaha vimetoweka kutoka bustani na mashamba ya Moabu. Nimekomesha kutiririka kwa divai kutoka mashinikizo; hakuna hata mmoja ayakanyagaye kwa kelele za shangwe. Ingawa kuna kelele, sio kelele za shangwe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Furaha na shangwe zimeondoshwa, katika shamba lizaalo sana, na katika nchi ya Moabu; nami nimeikomesha divai katika mashinikizo; hapana mtu atakayekanyaga zabibu kwa shangwe; shangwe ile itakuwa si shangwe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Furaha na shangwe zimeondolewa kutoka nchi ya Moabu yenye rutuba. Nimeikomesha divai kutoka mashinikizo hakuna mtu anayekamua zabibu kwa shangwe; kelele zinazosikika si za shangwe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, shangwe za furaha zilipotoweka Karmeli na katika nchi ya Moabu. Nayo mvinyo iliyokuwa kamulioni nikaikomesha, hawakamui tena kwa kupiga shangwe; shangwe zao sizo shangwe tena.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Furaha na shangwe zimeondoshwa, katika shamba lizaalo sana, na katika nchi ya Moabu; nami nimeikomesha divai katika mashinikizo; hapana mtu atakayekanyaga zabibu kwa shangwe; shangwe ile itakuwa si shangwe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Furaha na shangwe zimeondolewa kutoka inchi ya Moabu yenye mboleo. Nimeikomesha divai kutoka katika vikamulio. Hakuna mutu anayekamua mizabibu kwa shangwe; kelele zinazosikilika si za shangwe.